AKUKURU YAFANIKISHA MAREJESHO YA SH.MILIONI 439.2 KUTOKA KWA WANUFAIKA WA MIKOPO ASILIMIA 10 JIJI LA TANGA

Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Tanga Victor Swella akizungumza na waandshi wa habari ambao hawapo pichani wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2024 ambapo alisema kwamba moja ya kazi walioifanya ni ufuatiliaji wa ufanisi katika utekelezaji mkakati wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vijana,wanawake na watu wenye…

Read More

Butiku ataja yanayofifisha dhamira ya Muungano

Dar es Salaam. Hatua ya Tanzania kupangiwa bei ya kuuza bidhaa zake, kutojitosheleza kwa chakula na kuwa na mapato yasiyolingana na matumizi, yametajwa kuwa mambo yanayoongeza malalamiko ya wananchi dhidi ya Muungano na kuufanya uwe hafifu. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) Joseph Butiku, sababu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar…

Read More

ELIMU YA PSSSF KIGANJANI YAWAFIKIA WANACHAMA MAONESHO YA OSHA

NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, ARUSHA MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umewakumbusha wanachama wake kuwa, huduma zote zinazohusiana na uanachama wa mwanachama zinapatikana mtandaoni, (PSSSF Kiganjani). Meneja wa PSSSF, Kanda ya Kaskazini, Bi. Vonness Koka, amesema hayo wakati akiongoza timu ya watumishi wa Mfuko huo kupeleka elimu ya matumizi ya PSSSF…

Read More

Simulizi ya aliyefungwa kwa kumkashifu Rais baada ya kuachiliwa

Bariadi. “Maisha yangu yamebadilika. Mfumo wangu wa maisha wote umerudi nyuma, kwa sasa ni kama naanza upya kwa kuwa shughuli zote nilizokuwa nazifanya, ikiwemo kusimamia kandarasi ya majengo mbalimbali zimesimama.” Huyo ni Levinus Kidanabi (35) almaarufu kama ‘Chief Son’ aliyehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na faini ya Sh15 milioni kwa makosa matatu, likiwamo la…

Read More

TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI BARAZA LA MAWAZIRI WA MAJI KAMISHENI YA BONDE LA MTO ZAMBEZI

TANZANIA imechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa ZAMCOM katika mwaka 2024-2025 kwenye Mkutano wa 11 wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Kamisheni ya Bonde la Mto Zambezi (Zambezi Watercourse Commission – (ZAMCOM) unaoendelea mjiji Tete Nchini Msumbiji. Uchaguzi huo umefanyika kufuatia Msumbiji kumaliza muda wake na kukabidhi uenyekiti kwa Namibia, Hivyo, Tanzania inategemewa kuwa Mwenyekiti…

Read More

JKCI yaokoa Sh1.2 bilioni kwa kutibu watoto 40 nchini

Dar es Salaam. Upasuaji wa watoto 40 wenye matatizo ya kuzaliwa nayo ya moyo uliofanyika kwa siku nane nchini umeokoa Sh1.2 bilioni ambazo zingetumika kama wangetibiwa nje ya nchi. Madaktari wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini Uingereza kesho Aprili 26, wanahitimisha siku nane za upasuaji wa watoto…

Read More

MWENGE WA UHURU KUINGIA MKOA WA PWANI APRILI 29

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge akizungumza  na Waandishi wa Habari  Ofisini kwake leo Aprili  25, 2024 hawapo pichani. Na Khadija Kalili, Michuzi Tv MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge ametoa ratiba ya kuukimbiza Mwenye wa Uhuru ambao utaingia Mkoa wa Pwani Aprili 29 ukitokea Mkoa wa Morogoro. Akizungumza katika mkutano…

Read More

Watu wanne wafariki dunia ajali ya moto Kagera

Kagera. Watu wanne wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya moto baada ya nyumba waliyokuwa wanaishi kuungua moto unaodaiwa kusababishwa na mafuta ya petroli yaliyokuwa yamehifadhiwa kwenye madumu. Ajali hiyo imetokea alfajiri leo Aprili 25, 2024 katika Kata ya Rusumo, Wilaya ya Ngara mkoani Kagera kwenye nyumba ya Dominick Didas, yenye vyumba vinne…

Read More