Israel yaanzisha mashambulizi yake mjini Rafah – DW – 25.04.2024
Kulingana na rekodi za hositali, miongoni mwa watu hao watano waliouwawa ni watoto wawili wadogo waliotambuliwa kama Sham Najjar, alliye na miaka sita na Jamal Nabahan, wa miaka minane. Zaidi ya nusu ya idadi ya watu katika ukanda wa Gaza ya milioni 2.3, wamekimbilia usalama wao katika mji huo wa kusini wa Gaza ambapo Israel…