Exim Bank yatoa vitanda kwa shule ya Jeshi la Polisi Moshi
BENKI ya Exim imekabidhii seti ya vitanda kwa Shule ya Jeshi la Polisi Tanzania iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro kama sehemu ya mchango wa Exim Bank katika jamii ikiwemo ulinzi na usalama wa Watanzania na mali zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … (endelea). Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Mkuu wa Kitengo cha Masoko, Stanley Kafu…