MFUMO WA “CHAMPION APP” KURAHISISHA UTOAJI WA ELIMU NGAZI YA JAMII
Na Angela Msimbira, KATAVI OFISI ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Afya imeanza majaribio ya mfumo utakaowezesha watoa huduma za afya ngazi ya jamii kutoa elimu ya masuala ya afya kwa umma. Mfumo huo ujulikanao Champion APP umetengenezwa na wadau afya taasisi ya Girls Effect kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-TAMISEMI na Wizara ya…