Biteko ataja vipaumbele 7 bajeti nishati 2024/25

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametaja vipaumbele saba vya bajeti ya wizara yake ambavyo ni pamoja na kuendelea kutekeleza miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme pamoja na kufikisha gridi ya Taifa katika mikoa iliyosalia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Pia kupeleka nishati vijijini, ikiwemo katika vitongoji;…

Read More

Mloganzila mguu sawa upasuaji wa kuongeza makalio

Dar es Salaam. Wakati Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila ikitarajia kufanya upasuaji wa kurekebisha maumbile Mei 2024, imeelezwa wanawake wenye uhitaji wa huduma hiyo ni wengi, lakini wanakwamishwa na kipato. Upasuaji huo ni pamoja na kuongeza makalio, matiti na kupunguza tumbo. Daktari bingwa wa upasuaji wa kurekebisha maumbile kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Erick Muhumba, akizungumza…

Read More

JKCI IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU MAJUMBANI

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza kutoa huduma ya kuwafuata  wagonjwa manyumbani mwao na kuwapa tiba ili kupunguza vifo vya ghafla pamoja na kuokoa muda wa kuwapeleka hospitali. Hayo yamesemwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge wakati akizungumza na waandishi wa habari juu huduma hiyo jijini Dar es Salaam. Dkt. Kisenge amesema huduma…

Read More

ELIMU YA MLIPA KODI ILIVYOMUOKOA MIKONONI MWA MATAPELI

MFANYABIASHARA Marik Ngutti wa Machimbo ya Matabi wilayani Chato Mkoa wa Geita ameeleza namna ambavyo ufuatiliaji wake wa elimu ya mlipa kodi ilivyomnasua kutoka kwenye mikono ya matapeli waliojifanya maofisa Mamlaka ya Mapato (TRA). Ngutti ametoa ushuhuda huo leo Aprili 23, 2024 alipotembelea banda la TRA katika maonesho ya Wakandarasi Geita Mjini kwenye viwanja vya…

Read More

MISAADA MBALIMBALI YAWAFIKIA WANAWAKE WALIOJIFUNGUA NA WATOTO KATIKA KAMBI ZA WAHANGA WA MAFURIKO RUFIJI

Na Mwamvua Mwinyi,Rufiji April 23 Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM]) ameridhishwa na misaada inayoelekezwa na huduma zinazoelekezwa kwa akinamama waliojifungua na watoto waliokumbwa na maafa ya mafuriko Rufiji na Kibiti mkoani Pwani. Aidha amepongeza mkoa,maofisa ustawi wa jamii kata,wilaya na…

Read More

WADAU WA KILIMO IKOLOJIA HAI WAJADILI MPANGO YA MWAKA  2024/25

  Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Kilimo, Obadia Nyagiro,akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa Kilimo Ikolojia hai kilichoratibiwa chini ya mwamvuli wa Taasisi za Kilimo Hai Tanzania (TOAM) kilichofanyika jijini Dodoma. Mwenyekiti wa TOAM, Dk.Mwatima Juma,akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa Kilimo Ikolojia hai kilichoratibiwa chini ya mwamvuli wa Taasisi…

Read More