Ulinzi Yawachezesha Kwata Wapinzani Katika Darts

Bingwa wa mchezo wa vishale (Darts) wanawake Scholastica Kaizer kutoka wa timu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (Ulinzi Sports Club) akionesha utaalamu wake wakati wa michuano ya Kombe la Mei Mosi Taifa 2024 inayoendelea Jijini Arusha. Na Mwandishi Wetu, Arusha WACHEZAJI Omary Mmbaga na Scholastica Kaizer wa timu ya Wizara ya…

Read More

WAZIRI NDEJEMBI-SERIKALI INAYAFANYIA KAZI MAPENDEKEZO MABORESHO SHERIA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

  NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, KIGOMA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Deogratius Ndejembi amewahakikishia Majaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi na wadau wengine kuwa, Serikali inayachukulia kwa uzito mkubwa maoni yao kuhusu kuboresha baadhi ya vifungu vya sheria ya fidia kwa wafanyakazi wanaoumia, kuugua ama…

Read More

Msigwa ataka mdahalo na Sugu uenyekiti Kanda ya Nyasa

Mbeya. Mgombea uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa amesema mkakati wa chama hicho ni kupambana na kushinda katika uchaguzi ujao. Amesema iwapo atafanikiwa kutetea kiti hicho, atapambana kuhakikisha anapunguza udumavu uliopo katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini licha ya kuzalisha chakula cha kutosha. Msigwa amemtumia salamu…

Read More