
WALIMU WA NGUMI 29 KUTOKA TANZANIA WAFAULU MAFUNZO YA KIMATAIFA YA NYOTA MOJA
30-08-2025, Dar es salaam. WALIMU wa mchezo wa ngumi 29 kutoka Tanzania wamefaulu mafunzo ya kimataifa ya Ualimu ya IBA nyota 1 katika mafunzo yaliyofanyika kuanzia tarehe 28-07-2025 mpaka 06-08-2025. Ni historia kubwa katika tansia ya mchezo wa ngumi nchini Tanzania kwa kupata idadi kubwa ya wahitimu wa kimataifa kwa wakati mmoja toka nchi kupata…