Chaumma yaomba kura wanachama wa Chadema, yaeleza kuwaletea ‘reforms’

Morogoro. Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amewaomba wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kukichagua chama hicho ili mabadiliko ya sheria za uchaguzi ‘reforms’ ambazo wanazipigania wakaziharakishe. Devotha amesema hata wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanapaswa kuichagua Chaumma ili ikabadili mifumo ya kodi ambayo sio…

Read More

TCU YAFUNGUA DIRISHA LA PILI LA UOMBAJI VYUO ELIMU YA JUU

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kufunguliwa kwa awamu ya pili ya udahili wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 kuanzia Septemba 3, hadi Septemba 21 mwaka huu. Pia tume imewasisitiza waombaji ambao hawakuweza kutuma maombi ya udahili ama kudahiliwa katika awamu ya kwanza kutokana na…

Read More

VIONGOZI AFRIKA MASHARIKI WAAHIDI KUKABILIANA NA UVUVI HARAMU

  Katika kujenga mshikamano wa kikanda, viongozi wa serikali, wataalamu wa masuala ya bahari na uvuvi, viongozi wa jamii na wanaharakati wa uhifadhi wa mazingira ya pwani wameweka saini makubaliano ya kihistoria ya kuimarisha ushirikiano katika mapambano dhidi ya Uvuvi Haramu, Usioripotiwa na Usiodhibitiwa katika maji ya Afrika Mashariki. Makubaliano haya yamefikiwa kupitia Kongamano la Sauti…

Read More

Magereza Mbeya walivyofanikiwa kuacha kuni, mkaa

Mbeya. Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya limesema tangu kuanza matumizi ya nishati safi, limepata unafuu wa kupunguza gharama, kuokoa muda na kutoa mwanga katika uhifadhi na utunzaji mazingira, huku likieleza mkakati wa kuwafikia wananchi kuondokana na nishati chafu ya kupikia. Mkuu wa Gereza la Ruanda Mbeya, Christopher Fungo anasema tangu mwaka jana, gereza hilo…

Read More