CCM NA FRELIMO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO, (Msumbiji), Ndugu Chakil Felizardo Passadas Aboobacar, ambaye ameanza ziara rasmi ya kikazi kwa siku mbili nchini. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo tarehe 6 Machi 2026, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM,…

Read More

Vyama vya siasa Mbeya vyaanzisha umoja kusaidiana

Mbeya. Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimeahidi kubeba gharama za matibabu kumsaidia Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani humo, Hamad Mbeyale, aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa Kanda Mbeya. Pia kimependekeza kuundwa kwa umoja na ushirikiano baina ya vyama vya siasa mkoani humo, wenye lengo la kusaidiana wakati wa shida na…

Read More

Upangishaji wa vizimba wachochea masoko kuwa wazi

Dar es Salaam. Licha ya Serikali kutumia fedha nyingi kujenga masoko ya kisasa, likiwamo Soko Kuu la Kariakoo, bado baadhi ya vizimba na maduka yameendelea kuwa matupu. Kutokana na hali hiyo, uongozi wa soko hilo umetangaza kuwa vizimba ambavyo wamiliki wake hawatavifanyia biashara ndani ya kipindi cha miezi mitatu vitapigwa mnada. Hoja hiyo imekuja baada…

Read More

Waziri ataka wananchi Zanzibar wasichague kazi

Unguja. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawa Bora Zanzibar, Haroun Ali Suleiman amewataka wananchi kuchangamkia kazi za hoteli kwa kuwa Serikali imewekeza zaidi katika eneo hilo. Haroun ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 6, 2026 katika mkutano na waandishi wa habari uliolenga kueleza mafanikio ya siku 100 za Dk Hussein Ali…

Read More

Mbaroni akidaiwa kumuua mtoto mchanga baada ya kujifungua

Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji, akiwemo mwanamke anayedaiwa kumuua mtoto wake mchanga baada ya kujifungua. Akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 6, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amesema jeshi hilo linamshikilia mkazi wa Mlima, wilaya ya Kilombero, Elizabeth Leonard Colnery (17),…

Read More

BARRICK KUENDELEZA DHAMIRA YA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUPATA FURSA SAWA SEKTA YA MADINI

Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2026 yakiendelea,kampuni ya Barrick nchini yenye ubia na serikali kupitiaa kampuni ya Twiga Minerals, imeendeleza dhamira yake ya kuhakikisha Wanawake wanapewa fursa sawa katika ushiriki wa mnyororo wa sekta ya madini ambapo imewawezesha wafanyakazi wake wanawake 5 kupata mafunzo uongozi kupitia programu ya Mwanamke wa…

Read More