KUELEKEA MACHI 8 WANAWAKE CHATO WAGUSA WENYE UHITAJI
Kuelekea kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8, wanawake wa Wilaya ya Chato mkoani Geita wameamua kuadhimisha siku hiyo kwa namna ya pekee kwa kutoa misaada na neno la faraja kwa makundi yenye uhitaji. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Afisa Maendeleo ya Jamii wa Wilaya ya Chato, Christina Robert, amesema wanawake wa halmashauri hiyo…