Vyama vya siasa Mbeya vyaanzisha umoja kusaidiana
Mbeya. Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimeahidi kubeba gharama za matibabu kumsaidia Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani humo, Hamad Mbeyale, aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa Kanda Mbeya. Pia kimependekeza kuundwa kwa umoja na ushirikiano baina ya vyama vya siasa mkoani humo, wenye lengo la kusaidiana wakati wa shida na…