
Dk Nchimbi: Tutaimarisha demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari
Shinyanga. Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo watasimamia vyema uhuru wa vyombo vya habari. Pia, chama hicho kikipata ridhaa ya wananchi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano ya Oktoba 29, 2025 kitasimamia kukuza demokrasia ili Watanzania wafanye siasa bila hofu wala mashaka. Dk…