
Masele, Katambi waitwa jukwaani kuyamaliza, Dk Nchimbi asema…
Shinyanga. Jimbo la Shinyanga Mjini, ni moja kati ya majimbo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) yaliyokuwa na mvutano mkali katika mbio za kumpata mgombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano ya Oktoba 29, 2025. Kati ya watinia lukuki waliojitokeza, Patrobasi Katambi na Stephen Masele ndiyo walikuwa katika vuta nikuvute kubwa. Wawili hao, wamekuwa kwenye ‘vita’…