Fahamu Faida 7 Muhimu za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Juisi ya karoti ni kinywaji chenye virutubisho vingi muhimu kama vitamini, antioxidants na nyuzinyuzi, ambavyo huchangia kuboresha afya kwa ujumla. Kwa mujibu wa Healthline, juisi ya karoti ina kalori chache na wanga mdogo lakini ina virutubisho muhimu kwa mwili. Kikombe kimoja (takriban gramu 236) cha juisi ya karoti kina wastani wa: Kalori 94 Protini gramu…

Read More

DC NYAMWESE AWAPA SOMO WANAWAKE HANDENI MJI MATUMIZI YA SIMU JANJA KIBIASHARA

    Na Mwandishi Wetu, Handeni Wanawake katika Halmashauri ya Mji Handeni wametakiwa kutumia simu janja na teknolojia ya kidijitali kwa kuwa ni nyenzo muhimu ya kukuza biashara na kujikwamua kiuchumi kupitia fursa mbalimbali zinazopatikana mtandaoni.  Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese ameyasema hayo wakati akizindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi katika kongamano…

Read More