Rais Samia amlilia Jenista Mhagama
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, amepokea kwa masikitiko kifo cha mbunge wa Peramiho (CCM), Mkoa wa Ruvuma, Jenista Mhagama kilichotokea leo Alhamisi Desemba 11, 2015 jijini Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma na Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma, Ofisi ya Bunge, Spika wa Bunge, Mussa Zungu…