
BEI ZA MAFUTA MWEZI SEPTEMBA 2025 ZAENDELEA KUSHUKA
Picha na Mtandaoni ,:::::::::: Bei za mafuta zinazotumika nchini kuanzia leo Septemba 3, 2025, zimeonesha kupungua kwa kwa shilingi 36 kwa petroli na shilingi 23 kwa dizeli kwa mafuta yaliyopokelewa bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara mtawalia. Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dkt…