
REKODI UTEKELEZAJI MIRADI SONGWE ZAMBEBA MGOMBEA URAIS CCM RAIS SAMIA SULUHU HASSAN,WANANCHI WANAMSUBIRI
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Songwe WAKATI wa mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kufanya mkutano wake wa kampeni kesho Septemba 3,2025 mkoani Songwe ,wananchi wa Mkoa huo wanajivunia mafanikio makubwa waliyopata katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake. Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya mkutano katika Mkoa wa Songwe akiwa…