WIZARA YA KILIMO YADHAMIRIA KUWATUMIA WAHITIMU WA MoCU KATIKA MIRADI YA BBT
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta ya Kilimo na uchumi wa nchi kupitia programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT). Dkt. Nindi amesema hayo wakati akimwakilisha Bw. Gerald Mweli,…