Unataka kulipiwa mahari? Soma masharti ya Sheikh Kishki
Dar es Salaam. Kama Machi Mosi, 2026 ulisikia tangazo la kulipiwa mahari na umejipanga na mwenza wako, basi huna budi kufahamu masharti 10 yaliyotangazwa na Taasisi ya Al-Hikma ili kutimiza kigezo cha kufanikisha mchakato huo. Miongoni mwa masharti hayo yaliyotangazwa na mkurugenzi wa taasisi hiyo, Sheikh Nurdin Kishki ni pamoja na mwanamke ndio akachukue fomu…