CEOrt, IUCN waongoza msukumo wa kueneza suluhisho zinazotumia njia za asili kukabilina na mabadiliko ya tabia nchi
Na Mwandishi Wetu Arusha, Tanzania – Jukwaa la Wakurugenzi wa Makampuni nchini (CEOrt Roundtable), kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Mazingira (IUCN) na wadau muhimu wa utalii, limeandaa Warsha ya Ngazi ya Juu ya kuhamasisha matumizi ya njia za asili (Nature-based Solutions (NbS) jijini Arusha katika mnyororo mzima wa thamani wa utalii…