
Awamu ya pili ya mradi wa kuimarisha usalama wa chakula SADC waziduliwa Dar
Dar es Salaam. Tanzania kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Umoja wa Ulaya (EU), na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), imezindua awamu ya pili ya Mradi wa Stosar (Stosar II) wenye lengo la kuhakikisha biashara salama na endelevu ya mazao ya kilimo na vyakula. Uzinduzi huo…