
FLATEI ATIMKA AVT, AREJEA CCM KUMUOMBEA KURA RAIS DK. SAMIA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira akiwa pamoja na Aliyekuwa Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Gregory Massay, aliporudi rasmi katika chama cha mapinduzi (CCM) akitokea ACT Wazalendo alipokua amejiunga hivi karibuni. ……………… ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Mbulu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Flatei Maasai ametangaza kurejea CCM akitokea ACT Wazalendo…