Uhaba wa maji Dar unavyobadilisha mfumo wa maisha ya wananchi
Dar es Salaam. Changamoto ya upatikanaji wa huduma maji safi na salama imeendelea kuathiri mfumo wa maisha ya baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam na kusababisha mabadiliko ya shughuli zao za kila siku, uchumi wa kaya na afya za wakazi. Kwa wiki kadhaa sasa, baadhi ya maeneo yamekuwa yakikabiliwa na adha hiyo, hali inayowalazimu…