KAMPENI YA ‘VUNA NA MIXX’ YAWAKOMBOA WAKULIMA WA KILOSA
Kilosa, Tanzania – Wakulima wa Wilaya ya Kilosa wamekabidhiwa zawadi mbalimbali ikiwemo pikipiki, baiskeli, simu janja na paneli za sola, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya “Vuna na Mixx” inayolenga kutambua na kuhamasisha matumizi ya malipo ya kidigitali katika sekta ya kilimo. Hafla hiyo imehudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mheshimiwa Shaka Hamdu Shaka,…