Kesi ya Dk Manguruwe: Askari JWTZ aeleza alivyotapeliwa Sh8 milioni
Dar es Salaam. Shahidi wa 22 wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kuendesha biashara ya upatu inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanila International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu Dk Manguruwe na mwenzake, ameieleza jinsi alivyotapeliwa Sh8 milioni na mshtakiwa huyo kupitia kilimo cha vanila. Shahidi huyo, Iddy Mndeme, ambaye ni Askari wa Jeshi la…