SMZ kununua mafuta lita milioni 100 kukabiliana na athari za vita
Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza mipango ya kununua takriban lita milioni 100 za mafuta kwa lengo la kuzihifadhi kama akiba ya kitaifa kutokana na mzozo wa kijeshi unaoendelea kati ya Iran, Marekani na Israel, ambao umeleta hofu ya ongezeko la bei kwenye soko la dunia. Hatua hii imechukuliwa huku mataifa mengi yakishughulikia…