
Mbinu za kutambua kipaji ulichonacho
Dar es Salaam. Kuna uhusiano wa karibu baina ya elimu na kipaji. Elimu inakuwezesha kukidhi matarajio yako na ya wengine ila kipaji kinakidhi matarajio yako. Ukiwa na elimu na kipaji, unafika mbali zaidi kuliko ukiwa na kimoja peke yake.Kila mtu ameumbwa na kipaji. Mwanasaikolojia, Howard Gardner katika nadharia yake amechambua aina mbalimbali za uwezo wa…