HALI YA USALAMA JIONI HII NOVEMBA 10, 2025
JESHI la Polisi linapenda kujulisha kuwa, hadi jioni hii ya tarehe 10.12.2025 hali ya nchi kiusalama ni shwari na shughuli za kiuchumi na kijamii zimeendelea kufanyika katika mazingira ya amani na utulivu. Wakati Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vikiendelea kulinda amani, usalama wa nchi, maisha ya watu na mali zao,…