Mawaziri wanne watua Pwani, wapewa kero nne
Pwani. Wawekezaji katika Kongani ya Viwanda Kwala, Mkoa wa Pwani, wamepaza sauti wakitaka kupatiwa umeme wa uhakika, maji, kuwekewa kituo cha treni ya umeme (SGR), na nafuu za kikodi walizoahidiwa mwanzoni. Wametoa changamoto hizo leo, Jumatano, Desemba 10, 2025, walipotembelewa na mawaziri wanne wa kisekta na Serikali imewahakikishia kuzitafutia ufumbuzi wa haraka. Mawaziri hao na…