Mtazamo tofauti vyama vya siasa, sherehe za Uhuru
Dar es Salaam. Wakati ACT Wazalendo na CUF, vikidai maadhimisho ya kusheherekea miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika hayakuwa huru, kutokana na ulinzi kuimarishwa kila kona, baadhi ya vyama vya upinzani vimesifu ulinzi na usalama kutimiza wajibu wao. Desemba 9 ya kila mwaka, Tanzania Bara inasheherekea Uhuru wake, lakini jana ilikuwa tofauti kwa Watanzania kusalia…