Tuhuma za uchawi zawaponza watatu, wahukumiwa kunyongwa
Arusha. Hasira hasara. Ni kauli inayoakisi kilichowakuta wakazi watatu wa Murongo, wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera, baada ya mmoja wao kumtuhumu Jenester Petro kutohudhuria maziko ya mtoto wake kwa kuwa ni mchawi. Nyumba ya Petro ilibomolewa na kuchomwa moto, kisha akapigwa hadi kufa na mwili wake kuteketezwa kwa petroli. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Bukoba imewahukumu…