
Siku 30 za ahueni ukisalimisha silaha haramu kwa hiyari yako
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetangaza msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha haramu watakaosalimisha silaha kwa hiyari kuanzia leo Septemba 1, 2025 hadi Oktoba 31, 2025. Msamaha huo umetolewa chini ya mamlaka ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya mwaka 2015, Sura ya 223 na…