MBUNGE BAGAMOYO AKABIDHI MAGARI KWA TANESCO

………… 📌Lengo ni kupunguza muda wa kushughulikia hitilafu na kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wateja 📌Asema TANESCO imeimarika, imetoka katika kutengeneza hasara 📍Bagamoyo, Pwani Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Mhe. Subira Mgalu leo Machi 03, 2026 amekabidhi magari mapya kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kwa lengo la kuimarisha huduma kwa…

Read More

Kichanga chaokotwa kikiwa kimefariki Njoro, wananchi walaani

Moshi. Katika hali ya kusikitisha, kichanga cha kike kimeokotwa kikiwa kimetelekezwa katika eneo lisilo na makazi ya watu, mtaa wa Viwanda, kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi. Tukio hilo limewashtua wananchi wa eneo hilo, huku baadhi yao wakilaani vikali kitendo hicho na kueleza masikitiko yao juu ya tukio hilo la kusikitisha. Kichanga hicho kimeokotwa leo…

Read More

VIJANA 168,657 WANUFAIKA MAFUNZO UANAGENZI

Serikali imesema itaendelea kuratibu na kuimarisha Sera, Sheria na Miongozo inayosimamia programu za Mafunzo ya Uanagenzi na kuhamasisha sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kutoa nafasi za mafunzo kwa vitendo kwa wanagenzi nchini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amesema hayo leo Machi 03,2026 katika chuo cha ufundi stadi Daon…

Read More

Diaspora kuvutwa uwekezaji kwenye hisa Tanzania

Dar es Salaam. Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeshauriwa kuongeza nguvu ili kuwavuta Watanzania wanaoishi nje ya nchi kuwekeza katika soko la mitaji na dhamana. Kuwekeza kwao kutafanya Tanzania kupata fedha za kutosha kuendesha baadhi ya miradi na kuchochea uchumi wa nchi. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Machi 3, 2026 katika jukwaa la…

Read More

Baba Levo, AG kidedea, mahakama yakataa nyaraka kukaguliwa

Kigoma. Mahakama Kuu Kigoma, imekataa maombi ya kukagua na kujiridhisha kuhusu nyaraka mbalimbali za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 katika jimbo la Kigoma Mjini. Nyaraka hizo ni pamoja na kujiridhisha juu ya uwepo wa nakala halisi ya daftari la wapiga kura lililotumiwa katika kila kituo cha uchaguzi kuidhinisha mpigakura, fomu za matokeo kwa kila…

Read More