Tanroad kufunga taa maeneo ya kona kali barabara ya Mbeya – Chunya
Mbeya. Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Mbeya umeanza kufunga taa za kisasa katika maeneo yenye kona kali kwenye barabara ya Mbeya–Chunya ili kudhibiti ajali za mara kwa mara. Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kupunguza ajali sambamba na kuziba mashimo yaliyojitokeza kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Meneja wa Tanroads Mkoa wa Mbeya,…