FCC Yaweka Mkakati wa Kutoa Elimu Katika Maadhimisho ya Siku ya Mlaji
Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji Duniani, Tume ya Ushindani (FCC) imetangaza mkakati wa kuendelea kutoa elimu kwa umma ili kuhakikisha walaji wanapata bidhaa na huduma salama zinazokidhi viwango vinavyotakiwa. Akizungumza tarehe 3 Machi 2026 jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Khadija Ngasongwa, amesema tume hiyo itaendelea…