JUMUIYA YA WANAWAKE WA REA YAGAWA MAJIKO 300 BURE KWA WAKAZI WA WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA
Na Mwandishi wetu Dodoma Jumuiya ya Wanawake wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) leo alasiri, tarehe 9 Machi, 2026 wamesambaza bure majiko banifu 300 kwa kaya zenye kipato cha chini katika Halmashauri ya wilaya ya Bahi mkoani Dodoma ambapo zoezi hilo liliongozwa na Mkuu wa wilaya hiyo, Mhe. Joachim Nyingo. Akizungumza wakati wa zoezi la…