TUME YA UCHUNGUZI YAKUTANA NA ABDULRAHMAN KINANA

TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Machi 2, 2026 imekutana na mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Abdulrahman Kinana. Mkutano huo wa Tume na Kinana umefanyika katika ukumbi wa Tanganyika uliopo jengo la Benki Kuu ya Tanzania…

Read More

MAADHIMISHO YA HAKI YA MLAJI KUTOA MWANGA KWA WANANCHI, WAZIRI KAPINGA KUTARAJIWA KILELE KITAIFA

 :::::::::::::::: Tume ya Ushindani (FCC) imeanza rasmi maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki ya Mlaji Duniani kwa kuzindua kampeni ya kitaifa ya utoaji elimu kwa umma. Kupitia kampeni hiyo, walaji na wafanyabiashara watapatiwa mafunzo yanayolenga kuwajengea uelewa kuhusu haki, wajibu na misingi ya ushindani wa haki katika soko. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa…

Read More

TSL yazindua mifuko miwili kupanua fursa za uwekezaji

Dar es Salaam. Kampuni ya Tanzania Securities Limited (TSL) imezindua mipango miwili mipya ya uwekezaji wa pamoja yenye ubunifu, ikilenga kuimarisha ushirikishwaji wa wananchi katika sekta ya kifedha na kupanua wigo wa fursa za uwekezaji nchini. Akizungumza Machi 3, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa bidhaa hizo, Gavana wa Benki Kuu ya…

Read More

Serikali Yasisitiza Haki, Uwazi na Uadilifu kwa Wafanyabiashara

Wafanyabiashara wakubwa, wa kati na wadogo wametakiwa kuzingatia misingi ya haki, uwazi na uadilifu katika utekelezaji wa shughuli zao ili kuhakikisha biashara zinafanyika katika mazingira yenye tija na ushindani wa haki. Wito huo umetolewa leo Machi 3, 2026, wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara kuhusu haki na wajibu wao katika kukuza uchumi wa nchi….

Read More

Kesi ya ‘Dk Manguruwe’ Shahidi aeleza alivyotapeliwa milioni 1.5 kilimo cha soya

Dar es Salaam. Shahidi wa 20 wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kuendesha biashara ya upatu inayomkabili Mkurugenzi wa Vanilla International Ltd, Simon Mkondya, maarufu Dk Manguruwe, ameieleza Mahakama jinsi alivyotapeliwa Sh1.5 milioni kupitia kilimo cha soya. Shahidi huyo, David Mabwira, alidai alipoteza fedha hizo baada ya kuwekeza katika zao la soya lakini hakuwahi…

Read More