Mwalimu Chagwa asimulia jinsi vijana walivyopewa nafasi baada ya uhuru
Wakati Tanzania ikiadhimisha miaka 64 ya uhuru wa Tanganyika (baadaye Tanzania), Desemba 9, mwaka huu, vijana wametakiwa kuenzi harakati za mapambano ya uhuru na kutovuruga maendeleo yaliyopiganiwa na waasisi wa taifa hili. Wamehimizwa kufikiria na kuchukua hatua za kuendeleza yale yaliyojengwa na waasisi wa taifa hili, kuhakikisha nchi inafikia hatua mpya za maendeleo na ustawi…