El Mencho azikwa kwenye jeneza la dhahabu, ulinzi mkali
Mexico. Kiongozi wa genge la dawa za kulevya la Jalisco New Generation, Nemesio Oseguera Cervantes, maarufu El Mencho, amezikwa jana Jumatatu katika jeneza la dhahabu linalong’aa, likiwa limezungukwa na mashada makubwa ya maua na ulinzi mkali. Mazishi hayo yamevutia hisia mchanganyiko ya heshima, hofu na sintofahamu kwa wakazi wa jimbo la Jalisco. Jeneza hilo lilielezwa…