Hospitali, vituo vya afya marufuku kuzuia maiti
Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameziagiza hospitali zote nchini kuanza rasmi utekelezaji wa agizo la kutozuia maiti, huku akitoa maagizo kwa viongozi wa hospitali na taasisi zilizo chini ya wizara yake. Amesema hakuna Mtanzania atakayeshindwa kutibiwa kwa sababu ya kukosa fedha, wala ndugu watakaonyimwa mwili wa mpendwa wao kwenda kuzika. Mchengerwa amesema…