Shinda Samsung A26 Na Meridianbet Leo

MERIDIANBET imekuja na promosheni ya kibabe kabisa ambayo itakufanya wewe ujishindi Samsung A26 mpya kabisa endapo utafata maelekezo. Ni rahisi sana kuwa mshindi wa simu janja hii. Tengeneza jamvi lako sasa na uibuke mshindi. Promosheni hii ni ya mwezi mzima ambayo ni maalumu kwa watumiaji wote halali wa Meridianbet ambapo mteja ili ajiweke kwenye nafasi…

Read More

Ruka na ushinde, Weka Mizuka Juu na Aviator ya Meridianbet

KATIKA ulimwengu wa michezo ya kasino mtandaoni, kuna wakati adimu ambao burudani inageuka kuwa sherehe na huu ndio wakati wako. Meridianbet imeshusha tukio bab’kubwa kupitia mchezo pendwa wa kindege cha Aviator, ambapo kila kupaa ni nafasi ya kuvuna faida nono. Mwezi huu wa Desemba, unapokuwa rubani wa ndege yako ya mtandaoni, unaweza kujikuta ukirusha kindege…

Read More

SERIKALI YATANGAZA VIPAUMBELE VIPYA VYA UWEKEZAJI NA FURSA KWA VIJANA KUELEKEA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050

Amebainisha kuwa kipaumbele kitaelekezwa katika sekta 10 muhimu ikiwemo kilimo na uchakataji, uzalishaji wa bidhaa tunazoagiza kutoka nje (kama mafuta ya kupikia, ngano na dawa), ufugaji, uvuvi, utalii, ujenzi, madini, misitu, nishati, na huduma za fedha. Aidha, Serikali inazindua Benki ya Ardhi yenye zaidi ya hekta 170,000 kwa ajili ya uwekezaji, pamoja na kuanzisha Jukwaa…

Read More

Teknolojia inavyoibua ukatili mpya wa kidijitali

Iringa. Pamoja na manufaa makubwa yanayoletwa na maendeleo ya teknolojia, changamoto mpya za ukatili wa kijinsia zimeendelea kuibuka na kuathiri wananchi katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamebainishwa na wadau wa masuala ya jinsia wakiwemo wa kutoka Shirika la Norwegian Church Aid (NCA) kwenye mikutano ya uhamasishaji iliyofanyika katika kijiji cha Lugalo, wilaya ya Kilolo, mkoani…

Read More

Zarili yatakiwa kutathimini utendaji kazi wake

Unguja. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Suleiman Masoud Makame, amesema hajaridhishwa na mpangilio wa miundombinu, matumizi ya ardhi na namna shughuli zinavyoendeshwa katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo (Zarili). Amesema mazingira ya sasa ya taasisi hiyo hayako katika hali inayoweza kuonesha ufanisi, ubunifu au uendelevu unaotarajiwa kutoka kituo cha utafiti…

Read More