CHATO DC YATOA MAPENDEKEZO ELIMU YA JUU CHUO CHA IFM-CHATO
Wananchi wanaoishi kanda ya ziwa wametakiwa kuchangamkia fursa ya elimu kwa kuwapeleka watoto katika chuo cha usimamizi wa Fedha IFM kampasi ya geita kilichopo wilayani Chato. Hayo yamesemwa na mhadhiri na mkurugenzi wa IFM kampasi ya Geita Emmanuel Mtani wakati wa hafla fupi ya kuwatunuku zawadi wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao ya kuhitimu nganzi…