Serikali yaahidi kutoa alama ya ubora zao la mwani
Unguja. Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Masoud Ali Mohammed, ameahidi kuwapatia wazalishaji wa bidhaa za mwani alama ya ubora na uthibitisho, ili kuongeza thamani ya bidhaa hizo na kuimarisha uaminifu katika soko. Hayo amesema leo, Jumapili, Desemba 7, 2025, katika ziara ya kukagua miradi ya uchumi wa buluu na uvuvi katika Mkoa…