
TBS na udhibiti wa bidhaa hafifu
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wazalishaji, wasambazaji, wafanyabiashara na waingizaji wa bidhaa nchini kuhakikisha bidhaa wanazozalisha au kuuza zinakidhi matakwa ya viwango na ubora ili kulinda afya za wananchi na kutimiza azma ya Serikali ya kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa bora sokoni. Akizungumza leo Septemba 1, 2025 na waandishi wa…