Kimiti: Kuandamana siku ya Uhuru ni kumvunjia heshima Mwalimu Nyerere
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa Taifa hili. Kimiti aliyewahi kuwa waziri na mkuu wa mkoa kwa nyakati tofauti, amesema Desemba 9 ni siku ambayo Tanzania ilipata Uhuru wake, hivyo si…