Mbinu za usafiri wa bodaboda zinavyohatarisha maisha
Dar es Salaam. Ni jioni yenye msongamano Jijini Dar es Salaam, wakati ambao kila mtu akihangaika kurudi nyumbani kwa kutumia usafiri wa umma, na hapo pikipiki ‘bodaboda’ inaonekana kama njia ya haraka. Bodaboda zinaonekana suluhisho kutokana na kuweza kupenya maeneo mbalimbali, hivyo kutokaa foleni kama ilivyo kwa vyombo vingine kama magari na bajaji. Hata hivyo,…