Watano wakamatwa ulanguzi wa tiketi Magufuli
Dar es Salaam. Watu watano wamekamatwa wakituhumiwa kulangua tiketi katika ukaguzi uliofanyika na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli. Watuhumiwa hao walikamatwa Desemba 5 na 6, 2025. Baadhi ya watuhumiwa wanadaiwa kukutwa na tiketi 20 hadi 30 kutoka kampuni tofauti za mabasi, wakiziuza kwa bei kubwa kuliko bei…