WATUHUMIWA WANNE WAKAMATWA NA MADINI YA VITO MAHENGE
Watu wanne wamekamatwa na madini ya vito katika mtaa wa Togo, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, kufuatia operesheni maalum iliyofanywa na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mahenge kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga na uongozi wa Wilaya.Akizungumza na waandishi wa habari mapema jana kwa niaba ya Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini,…