Serikali kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara katika kulinda ushindani wa soko.
Na Mwandishi Wetu Serikali imesema kuwa itahakikisha wafanyabiashara wanapata mazingira wezeshi ya biashara, kupata faida, na kuchangia katika ukuaji endelevu wa uchumi wa taifa. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi alipomuwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushindani Duniani, yaliyofanyika Jijini Dar…