Sambo, Meya mpya Kigamboni | Mwananchi
Dar es Salaam. Madiwani 14 wa Halmashauri ya Kigamboni wamemchagua Diwani wa Kata ya Kibada, Amani Mzuri Sambo, kuwa Meya wa Halmashauri hiyo, akichukua nafasi iliyoachwa na Ernest Mafimbo aliyemaliza muda wake wa uongozi. Katika uchaguzi huo uliofanyika leo Desemba 5, 2025, Sambo ambaye alikuwa mgombea pekee, alipata kura 13 za ndiyo na mojawapo ya…